TAYOA YAWEKA WAZI MKAKATI WA KUKUZA KUENDELEZA VIPAJI VYA VIJANA NCHINI
MKURUGENZI wa Shirika la Vijana la TAYOA Peter Masika amesema kuwa asilimia kubwa ya Watanzania ni vijana na hivyo ni muhimu kuwapa nafasi ya kuonesha na kuendeleza vipaji vyao ili kutengeneza ajira kwao na kwa wengine. Pia ni vema wakapewa fursa ya kuonesha kazi zao za kiubunifu kwenye vyombo mbalimbali…