Timiza Malengo tulikuwepo hapa Ludewa
Timiza Malengo leo tuko hapa Ludewa DC kutoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na stadi za maisha kwa wasichana balehe na wanawake vijana wenye umri kati ya miaka 10 – 24 walio katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU.