Tayoa News

TAYOA YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI KWA TEHAMA

SHIRIKA la Vijana Nchini (Tayoa) kwa ufadhili wa Wizara ya Afya kupitia mradi wa Global Fund, limefanya mdahalo wa kwanza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ambapo zaidi ya wanafunzi na viongozi wapatao 680 wameshiriki. Mdahalo huo wa Timiza Malengo 2020 ulifanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom ulishirikisha…
Read More

TAYOA YATOA MAFUNZO MPWAPWA

TAYOA (Tanzania Youth Alliance) ni shirika lisilo la kiserikali lilianzishwa Novemba 1997 na kupata namba ya usajili 1497 likiwa makao yake makuu Masasani Beach kitalu namba 889/890  Dar es Salaam. Shirika hili lilianzishwa sio kwa lengo la kupata faida ila ni kwa lengo la kuwasaidia vijana waishio mjini na vijijini…
Read More

WABUNGE WA MAREKANI WAIPONGEZA TAYOA MONDAY

Kaimu Balozi wa Marekani Dk. Inmi Patterson akisailimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Vijana Tayoa, Balozi Charles Sanga alipowasili kwenye viwanja vya shirika hilo Bahari Beach Dar es Salaam pamoja na ujumbe wa wabunge watano wa Bunge la Congress la Marekani. Ujumbe wa wabunge watano wa Bunge la…
Read More

MABANGO YA KUELIMISHA UKIMWI YAZINDULIWA

Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba katikati akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha Ukimwi na masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa katika vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata kulia ni kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter Masika.…
Read More

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)
Choose Demos Submit a Ticket Purchase Theme

Pre-Built Demos Collection

Consultio comes with a beautiful collection of modern, easily importable, and highly customizable demo layouts. Any of which can be installed via one click.

Cryptocurrency
Business Construction
Business Coach
Consulting
Immigration
Finance 2
Corporate 1
Corporate 2
Corporate 3
Consulting
Business 1
Business 2
Business 3
IT Solution
Tax Consulting
Human Resource
Life Coach
Marketing
Insurance
Finance RTL
Marketing
Consulting
Consulting
error: Content is protected !! Please contact to Tayoa for more help