MABANGO YA KUELIMISHA UKIMWI YAZINDULIWA

Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba katikati akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha Ukimwi na masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa katika vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata kulia ni kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter Masika. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Emmanuel Mushi na Kamishna wa Tacaids, Faraja Kotta Nyalandu

Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi kwa chuo hicho kushirikiana na Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi ya Ukimwi. Nyuma yake ni kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu, Kamishna Daniel  Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.

Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi (mbele shati la bluu) kwa chuo hicho kushirikiana na Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi ya Ukimwi. Pembeni yake ni kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu, Kamishna Daniel  Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.

 

Leave A Comment

Categories

At vero eos et accusamus et iusto odio digni goikussimos ducimus qui to bonfo blanditiis praese. Ntium voluum deleniti atque.

Melbourne, Australia
(Sat - Thursday)
(10am - 05 pm)
Choose Demos Submit a Ticket Purchase Theme

Pre-Built Demos Collection

Consultio comes with a beautiful collection of modern, easily importable, and highly customizable demo layouts. Any of which can be installed via one click.

Cryptocurrency
Business Construction
Business Coach
Consulting
Immigration
Finance 2
Corporate 1
Corporate 2
Corporate 3
Consulting
Business 1
Business 2
Business 3
IT Solution
Tax Consulting
Human Resource
Life Coach
Marketing
Insurance
Finance RTL
Marketing
Consulting
Consulting