Balozi mstaafu Charles Sanga (kulia), ambaye ni Mwenyekiti wa asasi ya vijana ya Tayoa akiwaongoza wafanyakazi wa asasi hiyo kufurahia tuzo tatu walizopata mjini Nairobi nchini Kenya wakati wa maonyesho ya matumizi ya teknolojia katika kusaidia maendeleo ya kiuchumi yaliyohusisha nchi za Tanzania, Sudani Kusini ,Uganda, Burundi, Rwanda, Kenya na Tanzania